Habari zenu wakuu, Kwa yoyote ambaye anauzoefu juu ya biashara ya kuuza dawa za binadamu ,naomba ushauri, endapo nikifungua niwe na mtaji kiasi gani Kwa kima Cha chini kabisa, pia faida zake , changamoto zake na mahala sahihi pa kuuzia.
Nisaidieni wakuu nimeona ni wazo zuri kwangu endapo nikifanya hivo lakini ninamtaji wa m1.5 , [emoji1666] naombeni mawazo yenu