Ushauri : mazao ya kulima kwenye bustani ya mboga mboga

Ushauri : mazao ya kulima kwenye bustani ya mboga mboga

Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
497
Reaction score
785
Kutokana na passion yangu ya kilimo nimeona nije kwenu wadau kuomba ushauri.
Nimepata eneo ninaloishi ambalo nimewaza kufanya kilimo cha mboga mboga na matunda.
Nina uzoefu kidogo cha kilimo cha tikiti maji japo nimepanga kulima strawberry, hoho nyekundu na njano, nyanya pamoja na mboga mboga za majani kama lettuce
Ila nikaona niombe ushauri kwa magreat thinkers hapa
Eneo ni Kilimanjaro, maji yapo yakutosha masaa 24.
Naombeni ushauri wa hayo mazao ikiwemo soko pia
 
Back
Top Bottom