#COVID19 Ushauri: Mazishi ya wanaokufa kwa COVID19 wazikwe maeneo waliyofia, wasisafirishwe

#COVID19 Ushauri: Mazishi ya wanaokufa kwa COVID19 wazikwe maeneo waliyofia, wasisafirishwe

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Utamaduni wa kusafirisha maiti na kwenda kuzikwa alikozaliwa marehemu, kunasabaza ugonjwa toka eneo moja kwenda lingine.

Ndugu zetu wa kaskazini kwa sehemu kubwa ndiyo wenye tamaduni hizo, matokeo yake ugonjwa kwenye mikoa hiyo unaenea kwa kasi sana.

Naishauri serikali yangu ikaliangalie hili.
 
Tutakuwa tunauwakika gani kwamba kila kifo kimetokana na corona huoni kama ni njia moja wapo ya kuwafanya watanzania waanze kuishi kwa wasiwasi....narudia tena hapa katikati kulikuwa na utulivu mkubwa juu ya huu ugonjwa ingawa yalisemwa mengi na hata kutishiwa kwa kuokotwa kwa maiti lkn mungu alituvusha salama lkn katk kuanza tena kuipa hofu huu ugonjwa na kuwakaribisha wageni watutawale kimawazo hali hii ya hofu ya huu ugonjwa umeanza tena sasa sijui tunaelekea wapi na mwisho wake ni nini yangu macho
 
Acha wenge

COVID 19 sio Ebola

Unatushauri kama nani?
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom