Utamaduni wa kusafirisha maiti na kwenda kuzikwa alikozaliwa marehemu, kunasabaza ugonjwa toka eneo moja kwenda lingine.
Ndugu zetu wa kaskazini kwa sehemu kubwa ndiyo wenye tamaduni hizo, matokeo yake ugonjwa kwenye mikoa hiyo unaenea kwa kasi sana.
Naishauri serikali yangu ikaliangalie hili.