Ushauri: Mbowe aanze kuwafukuza uanachama wanaopinga jitihada zake

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe.

Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe.

Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
 
Mbowe na chadema awawezi kukubalika tena na wananchi labda wananchi wakose mbadala .... tunasubili chama kipya na ndani ya ccm tunazidi kuimalisha legacy ya uzalendo wa nyerere na jpm
 
Anaanzaje kuwageuka chawa wake mwenyewe 🤣. Jamani chawa wametambuliwa rasmi kwenye ulingo wa siasa za bongo.
 
Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe.

Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe.

Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude

Mbona ameruhusu kukosolewa.
 
Back
Top Bottom