Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

SIR.NOM

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
78
Reaction score
24
Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana.
Nimekuja kwenu wadau,kupata ushauri.Kuna ndugu yangu wa karibu alikopa huko.Sasa umefika wakati wa marejesho,hana hela.Na wale jamaa ni wanapiga cmu balaa.Usumbufu wa cmu kipga mara kwa mara kama wote yan.Na kila anacho jarbu kujitetea hawamuelewi.Wanacho taka wao ni hela tu na vitisho juu.
Nimshaurije huyu mtu,naomba ushauri wenu.
 
Piga Block, mdaiwa hafungwi
 
Ukweli ni kwamba hao wakopeshaji hawana Cha kukufanya !
 
[emoji2]Wee jamaa,unanuzoefu nao au unatania tu?
 
Ukweli ni kwamba hao wakopeshaji hawana Cha kukufanya !
Ni kweli, hawa silaha yao ni kukutia woga na kukutisha tu hadi kwa contacts zako, ukiwamudu hapo baasi. Ni matapeli kama matapeli wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…