Ushauri:Mnaoomba vyuo awamu ya NNE kuweni makini

Ushauri:Mnaoomba vyuo awamu ya NNE kuweni makini

Saint Anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
76,039
Reaction score
230,142
Neema imewajia tena wale wote walio kosa vyuo.

TCU imetoa nafasi tena kwa wanafunzi kufanya application za vyuo

Jitahidini kuomba vyuo vingi
Kuwa makini katika uchaguzi wa degree programme,,
Kuweni makini sana..msirudie makosa mliofanya wakati uliopita yaliyopelekea mkakosa vyuo.

Tafuta hata mshauri kabla hujafanya application..
All the best...karibuni chuoni
 
Mm niliomba degree ya marketing in public relation campus ya mbeya TIA maajabu nimepagwa TIA campus ya dar tena degree ya business administration inakuwaje na mm mtumishi kituo changu cha kazi mbeya nataka nisome campus hii ya mbeya vp naomba ushauri naweza fanya lolote nikahamia mbeya pia nisome kozi nayotaka
 
Wasiliana na uongozi wa chuo
 
Back
Top Bottom