Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wasiliana na uongozi wa chuoMm niliomba degree ya marketing in public relation campus ya mbeya TIA maajabu nimepagwa TIA campus ya dar tena degree ya business administration inakuwaje na mm mtumishi kituo changu cha kazi mbeya nataka nisome campus hii ya mbeya vp naomba ushauri naweza fanya lolote nikahamia mbeya pia nisome kozi nayotaka