Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Nimejaribu kupitia thread nyingi za watu ambao wanaomba ushauri kuhusu,wanaweza kusoma nini Chuo Kikuu,na maswali mengine kama hayo. Nimegundua kwamba,watu wengi hawajasoma "Admissions Guidebook for the
2012/2013 Academic year" ambapo wangeweza kupata majibu mengi ya maswali yao. Hivyo basi,nawashauri wote wenye mpango wa kuomba vyuo na mikopo mwaka huu,wafungue hizi websites 'www.tcu.go.tz',pia 'www.heslb.go.tz ' au 'olas.heslb.go.tz' kuna maelezo na taarifa za muhimu.
"Admissions Guidebook for the
2012/2013 Academic year" unaweza kukisoma kwa urahisi kama unaweza kukidownload (ni pdf file).Mf.Mimi nina adobe reader kwenye simu yangu,nimekidownload na ninauwezo wa kukisoma muda wowote.Huu ndo muda wa kuhakikisha unakipata mapema na kusoma kwa makini,ili uweze kupata kozi nzuri.
Nawashauri mpitie kwanza hiki kitabu na kusoma taarifa muhimu kwenye hizo website hapo juu ndo yakikushinda uandike thread ya kuomba msaada.