USHAURI:Mnaotarajia kuomba nafasi za kusoma Vyuo Vikuu,pitieni hapa!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Nimejaribu kupitia thread nyingi za watu ambao wanaomba ushauri kuhusu,wanaweza kusoma nini Chuo Kikuu,na maswali mengine kama hayo. Nimegundua kwamba,watu wengi hawajasoma "Admissions Guidebook for the
2012/2013 Academic year" ambapo wangeweza kupata majibu mengi ya maswali yao. Hivyo basi,nawashauri wote wenye mpango wa kuomba vyuo na mikopo mwaka huu,wafungue hizi websites 'www.tcu.go.tz',pia 'www.heslb.go.tz ' au 'olas.heslb.go.tz' kuna maelezo na taarifa za muhimu.
"Admissions Guidebook for the
2012/2013 Academic year" unaweza kukisoma kwa urahisi kama unaweza kukidownload (ni pdf file).Mf.Mimi nina adobe reader kwenye simu yangu,nimekidownload na ninauwezo wa kukisoma muda wowote.Huu ndo muda wa kuhakikisha unakipata mapema na kusoma kwa makini,ili uweze kupata kozi nzuri.
Nawashauri mpitie kwanza hiki kitabu na kusoma taarifa muhimu kwenye hizo website hapo juu ndo yakikushinda uandike thread ya kuomba msaada.
 
KUNA MAIN THREAD NIMEIANZISHA TOKA JANA NIMEVINOTICE HIVI VITU MAPEMA ILA NAONA NI MCHECHE WA WATU ILA HIVI NI MUHIMU SANA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...anaotarajia-kuingia-mavyuoni-someni-hapa.html
 
KUNA MAIN THREAD NIMEIANZISHA TOKA JANA NIMEVINOTICE HIVI VITU MAPEMA ILA NAONA NI MCHECHE WA WATU ILA HIVI NI MUHIMU SANA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...anaotarajia-kuingia-mavyuoni-someni-hapa.html

Asante sana kaka Maganga Mkweli,yaani baada ya kupost hii,ndo nikaiona yakwako. Ina maelezo ya kutosheleza kabisa,wote walioko kwenye mchakato huo msome post ya Maganga Mkweli,yenye heading "Kwa wale
waliomaliza kidato
cha sita na diploma
wanaotarajia kuingia
mavyuoni someni
hapa",na mtapata mengi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
tuko pamoja sana kamanda tusaidie wadogo na ndugu zetu kwenye hichi kipindi cha kutafuta chuo maana mfumo wa nchi kupata taarifa ni utata sana
Msafiri Kasian
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…