mdaumzalendo1
Member
- Feb 2, 2018
- 76
- 50
Habari wadau;
Katika kufanya utafiti nimegundua kuwa kuna changamoto ya utumiaji wa Laptop katika taasisi za elimu ya juu na hilo limenifanya nifikiri mradi wa kukodisha Laptops kwa wanafunzi wa Chuo.
Kwa kuanza ninafikiri kuanza na Laptop PC 25 na ninalenga kwanza vyuo vilivyopo Dar,Laptop zitakodishwa kwa shilingi 500 au 1000 kwa saa na kama mtu atahitaji kutumia wireless interenet ataongeza 500.na zitatumika ndani ya Libraries za Vyuo tu.Nimeangalia kwa haraka haraka mradi huu utawezesha vijana wasiokuwa na uwezo wa kununua laptop zao wenyewe kuweza kutumia hizi kufanyia asignments na kujisomea mtandaoni.
Kutoka kwenu wadau nahitaji maoni yenu kama ifuatavyo.
Je mradi huu unaweza kuwa na impact yoyote kwa jamii ya wasomi wetu?
Je kuna ambaye angependa kuwekeza katika mradi huu.Unaweza ama kujitolea Laptop ambayo hutumii au unaweza kuchangia pesa kidogo ili tuongeze idadi ya kompyuta.Mradi ukifanikiwa tunampango wa kuupeleka kwenye shule za sekondari na kisha baadaye shule za msingi.
Naomba maoni yenu na mengineyo
Asanteni