USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Naaam

Ili kuchochea utalii dsm pamoja na kuongeza kipato
Wawekwe wanyama wasio na madhara kama Twiga pundamilia mbuni

Lazima Ifikiwe tuwe wabunifu kama hoteli moja huko kigamboni inaweka twiga na pundamilia hii msitu wa pande inashindikana vipi

Watu wa maliasili na tanapa tazameni hili wapinzani Nairobi mbona wameweza
 
Huo uoto wa Mambwepande una support maisha ya wanyamapori?
 
Wazo zuri kumbuka kuna Wanyama tayari kwenye Msitu ule hebu jaribu kutembelea Usiku kuanzia saa 3 UTAWAONA
 
Back
Top Bottom