Kaka shikamoo...
Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU
Cha ajabu haongei wala kukemea chochote yaani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma?
Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka wampe tena dhamana na muda mwingine aendelee na MALEZI
Ila kuna mzee mmoja alitushauri tuhame MTAA na huku akijua kabisa kwa busara zake kwamba jambo la kuhama MTAA haliezekani…
INAUMIZA
#mtaani_kwetu_kivyetuvyetu