mkuu ongezea maelezo hapo mambo ya hovyo yapo mengi sana...Kaka shikamoo...
Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU
Cha ajabu haongei wala kukemea chochote
yani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma??
Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka wampe tena dhamana na muda mwingine aendelee na MALEZI
Ila kuna mzee mmoja alitushauri tuhame MTAA na huku akijua kabisa kwa busara zake kwamba jambo la kuhama MTAA haliezekani…
INAUMIZA
#mtaani_kwetu_kivyetuvyetu
SIku watoto wa mama hawatupi watu mbali. Utaokotwa Dar hii hii. Sasa kama ndugu zako wapo nje ya Dar utaishia kuozea mochwari.Kaka shikamoo...
Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU
Cha ajabu haongei wala kukemea chochote
yani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma??
Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka wampe tena dhamana na muda mwingine aendelee na MALEZI
Ila kuna mzee mmoja alitushauri tuhame MTAA na huku akijua kabisa kwa busara zake kwamba jambo la kuhama MTAA haliezekani…
INAUMIZA
#mtaani_kwetu_kivyetuvyetu
At least kuna mtu kaelewa.SIku watoto wa mama hawatupi watu mbali. Utaokotwa Dar hii hii. Sasa kama ndugu zako wapo nje ya Dar utaishia kuozea mochwari.
ni kama ulilazimishwa kufungua thread mkuu😑Hawa form four wakishamaliza shule wanajaza nyuzi za hovyo hovyo sana humu
Eti hii nayo thread?
Polisi na tis kujeni tekeni hii ng'ombe
am glad😌At least kuna mtu kaelewa.
mtaani kwetu ni kigoma ndanindani huku kaka😁😁SIku watoto wa mama hawatupi watu mbali. Utaokotwa Dar hii hii. Sasa kama ndugu zako wapo nje ya Dar utaishia kuozea mochwari.
tulichotaka tu uyu mama awalee watoto wake kama mama zetu wanavyotulea…sisi mbona tuna adabu na hatujawahi mkosea mtuKitakachofuata hao watoto wake wapumbavu nao wataanza kutekwa na kupotezwa. Ninyi wananchi mna nguvu ya kuwapoteza mapema sana na kwenda kumteka hadi huyo mama yao.
nashindwa kaka inaweza ikawa kijana wake mmoja yupo hum na nikiyataja hayo ya hovyo yakanikuta kama yaliyomkuta kaka yangu mkubwa alipigwa mtaani na mke wake wakamchukua😔😔mkuu ongezea maelezo hapo mambo ya hovyo yapo mengi sana...
shauri tu kulingana na yaliyopo hapoTunaomba uongezee nyama kwenye uzi wako maana hatuelewi tukushauri kipi hapo