Wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dsm sikubahatika kupata mkopo ila kabla sijaanza nilisha jikusanyia kama mtaji wa milioni mbili hivyo naombeni ushauri nataka niizungushe ili inisaidie na niendelee na masomo yangu maana kwa mda tu nimegundua maisha ya dsm ni magumu sana nitashindwa kusoma nikisema niifanye hiyo hela ya kutumia kwani ndo kwanza nimeanza shule yangu!!niondokane na kuwa mtu wa kuomba kusaidiwa !!nawasilisha wadau msaada mnifungue na tubadilishane mawazo