Ushauri Muhimu kwa Wanaoanza Elimu ya Juu Mwaka Huu

thanks though ur not the first person to give me a piece of advise like this,i want to do cosmetics bussiness after finishing my study,that is my plan and i want t to work on it!bt the starting cost/capital i want to start with is five million!bt am not sure if after 3years i will have such amount of money!what should i do to get t and my course is not easy that i can do bussiness while studying to accumulate my capital!
 

U are in the word of mine
 

Hi Richard,
Congratulations for planning to go in cosmetic bussiness.
If you can not accumulate enough capital, start small and grow from there. If your initial capitalbis 5m i am sure with 2 or 3m you can do something and when you have a business runing you can secure funds from different sources. What matters is to start somewhere.
And please there is no easy or difficult courses, that is your perseption. What matters is your commitment in studies and business, if you can plan your time well you can do both, however you will have to sacrifice a lot of things.
If you need more advice feel free to email me, my email adress is above.
 

Kakaka me nimependa hiyo una idea kali sana me nina naomba nitumie hivyo vitabu email yangu ni #msaidi193 gmail.com
 
Last edited by a moderator:
Habari za leo wakuu,
Wale wote ambao wamenitumia email tayari nimewatumia VITATU MUHIMU SANA ambavyo vilibadili maisha yangu na nina imani kama mkivisoma na kufanyia kazi yale mtakayojifunza maisha yenu yatakuwa tofauti na bora zaidi.
Kwa ambaye bado hajatuma email kupata vitabu hivi tafadhali nitumie meail kwenye amakirita@gmail.com usiweke email yako hapa kwenye uzi au kunitumia email kwenye pm, nitumie moja kwa moja ili iwe rahisi kukujibu kwa vitabu hivyo. Nimepokea email nyingi sana na ndio maana nimechelewa kidogo kuwatumia.
Kumbuka una jukumu juu ya maisha yako, chukua hatua sasa.
TUPO PAMOJA.
 
tatizo vijana wengi wanafikiria kufika chuo ndo mahali pa kula starehe mana hela ya boom ipo.. ila kwa mwenye macho amesoma na mwenye akili ameelewa.. wazo zuri mkuu
 
Nakupongeza sana Makrita nakufananisha na jamaa mmoja wa ilboru kwa sura, Nakumbuka kaka yangu alimaliza Muhimbili akiwa na mili 2 ivi lakini mimi duuu! mwaka 3 nyuma nilikuwa na akiba ya laki 5 najutia fedha nilivyozichezea miaka 2
 
Last edited by a moderator:
Nakupongeza sana Makrita nakufananisha na jamaa mmoja wa ilboru kwa sura, Nakumbuka kaka yangu alimaliza Muhimbili akiwa na mili 2 ivi lakini mimi duuu! mwaka 3 nyuma nilikuwa na akiba ya laki 5 najutia fedha nilivyozichezea miaka 2

Asante mkuu,
Usijute sana, kwa kuwa umeshajua makosa uliyofanya, anza vizuri sasa.
Karibu sana, TUPO PAMOJA.
 
Last edited by a moderator:
ahsante brooo kwa ushaur wako na mungu akubariki xna ndugu yang kweli tuko pamoja
 
Umeona mbali na ila hujaeleza kwa wale wanaosomeshwa na wazazi je,mhm zaid kwao ni nini?
 
Hili nalo neno. Ushauri mzuri, lakini umeegemea zaidi kwa wale wanaopata mkopo, wanaosoma kwa kuungaunga nao inakuwaje?
Umeona mbali na ila hujaeleza kwa wale wanaosomeshwa na wazazi je,mhm zaid kwao ni nini?
 
Umeona mbali na ila hujaeleza kwa wale wanaosomeshwa na wazazi je,mhm zaid kwao ni nini?

Hili nalo neno. Ushauri mzuri, lakini umeegemea zaidi kwa wale wanaopata mkopo, wanaosoma kwa kuungaunga nao inakuwaje?

Habari wakuu,
Kwa wanaosomeshwa na wazazi unachukua ushauri huu kisha unajiongeza. Yaani unaangalia ni jinsi gani unaweza kuutumia katika situation yako.
Kwa mfano kama unapata pocket money usiitumie yote weka kiasi kidogo.
Kama hupati kabisa angalia ni kitu gani unaweza kujishughulisha nacho ambacho hakiingilii masomo yako ila kikakuingizia fedha kidogo.
Tumia akili yako kufikiri zaidi.
TUPO PAMOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…