Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

At your own risk. Kama ni Muislamu imekula kwako, watoto wa nje hawatambuliki kwenye mirathi wewe ni mwizi kama wengine. Ilitakiwa ungemwambia akuoe mke wa pili.
Kadai mali ukose ndoa.
 
Asitupotezee muda kumbe ni mtunzi wa visa.Angekuwa na mume asingeuliza gharama za kujenga nyumba ya matope mara ya chumba kimoja.
Ngoja niiripoti kwa moderator aifutilie mbali kuokoa muda wetu.
Yapo haya hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe.
 
Au ndo kuchimbua....nitamchimbulia wapi mkuu

Naomba kujuzwa gharama za kujenga chumba cha matope Tanga


Naomba kujuzwa gharama za kujenga chumba cha matope Tanga
 
Itakuwa vizuri na mume wako wa halali achukue nafsi Yako ili naye ahic kuipata haki yake uliyomdhulumu Kwa kugawa K Kwa mchepuko!mzinifu mkubwa wewe
 
🀣🀣🀣Nimefika kule nimeshindwa jizuia kucheka.Aisee,humu ndani watu wanaleta tu story na Wala si uhalisia wao.....nyie mtafoooka kumbe mnajichosha mwee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimefika kule nimeshindwa jizuia kucheka.Aisee,humu ndani watu wanaleta tu story na Wala si uhalisia wao.....nyie mtafoooka kumbe mnajichosha mwee
Ukikutana na simulizi kama hizi fanya fact check
 
Hapo huwezi pata hata yai la kuku kisheria

Kaa kwa kutulia malipo ya ujinga ni majuto
 
Hii ni chai.
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR! Kweli kuna wanawake ni wakatili sana.
 

Acha ndoa kadai mali
 
'Tunatoana roho sababuu....
Kwa mali alizoacha babaa....'

Mali ya baba inanitoa,
Bora nikae pembenii...
[emoji4][emoji4][emoji4], huo wimbo unaendana na huu mkasa uliosababishwa na huyu mwanamke mpumbavu.
 
Nasoma huu uzi hasira zinachemka kichwani. Sijui kwanini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…