Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Huna chako hapo mamaa ungemkazia mapema kabla hajadedi akupe cha watoto mapema ili kuepuka shida huko Mbele!
 
Malaya unatafutaje ushauri kwa watu wastaarabu. Nani ukushauri kwa uchafu wako. Gunia za mkaa zinakuhusu wewe. Wanaume kazi ipo, yani watoto 3 nje ya ndoa.
 
Yani hii story umeiba kwa Iddi Makengo au ww ndo Idd mwenyewe.
 
Ukidai haki uoneshe na sehemu ya kukuzika. Maana Hakika Utakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…