Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

yani azae na wew watoto watatu ila mkewe azae nae mmoja. sikia tafuta vitafunwa
 
[emoji1785][emoji1785][emoji1785][emoji1785][emoji1785] Huu uozo umeutolea wapi, na kama ni kweli basi hamna haki inyotafutwa ni uroho wa mali,

Dah, hata siwezi kuendelea kuandika naona ntaichosha akili buuuuure
 

Wewe umejenga kwenye kiwanja cha mtu yeye ana hati.... hili ndio ulilofanya, haya jiulize hapo nani mmiliki?
 
Hii ingewezekana tu kama walishawahi kwenda kutambulishwa rasmi(Kimila au vinginevyo) kwa familia ya baba yao wakati akiwa hai na akawakubali.. kwani kwa sheria za Tanzania mtoto aliyetambulishwa na anayetambulika kwenye familia ya baba ni mnufaika halali wa urithi wa baba yake na ana haki ya kurithi kiasi cha mali ya baba yake..
vinginevyo haiwezekani tena..
 
Kama kweli ww ni mpumbavu wakutupwa kweli wanawake mtajaa motoni wengi mno wala vitabu havijasema uongo Duuuh ndo nn sasa hii alafu ulivokuwa huna akili bado unataka kudai mali yaani ww umekaa kimali mali mroho wa fedha.

Watu km nyinyi mnao penda fedha ndo mnakuwa wachawi ukikosa hizo fedha maana unajawa na chuki na husda mwenzio akipata. Sasa kwa taarifa yako km upo kwenye ndoa hao watoto wamumeo Daa sjui utaenda sema nini kwa Mungu
 
Natamani nikutukane ila ngoja niseme tu kwa busara.
1. Ukienda mahakamani utaulizwa kuna wosia wowote uliandikwa??
2. Watoto wanatumia majina ya nani??
3. Usalama wa ndoa yako ukoje??

Mwisho nikushauri tamaa mbaya sana na dhambi hiyo kwa mmeo wa ndoa itakusumbua sana nafsini mwako na hicho ni kidonda ndugu
 
Tamaa imekufikisha hapo, tamaa tena inakubeba kwenda kudai mali....

Ni rahisi mno, kwa hali ilivyo lazima ukubali jambo moja tu kwa sasa, kutoa ukweli wote ili ndoa ife au ubaki na siri moyoni na ukose hizo mali za mzazni mwenzio.

Wanaume tunapitia mengi sana.
 
Na hao watoto sijui atasomeshaje?? Kwa kuwa kazoea umalaya atatafuta danga lingine
 
Kama Ni kweli utauwawa na bwan ako huyu

Ndio maana nikisikia mauaji ya wanawake na watot kumbe Sababu ndio hz hz.uwezi kuwa salama dad
 
Na hivi ndivyo jinsi unavyo andaa kifo chako na pia kuua hao watoto watatu.

Nenda kadai sisi tunasubiri kwenye Tv na Magazeti habari zenu.
 
Mwanamke wa hovyo sana wewe.
Utakuwa na mwisho mbaya katika maisha yako.
Yakumbuke maneno haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…