Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Kwa hiyo dada, wakati anaandika huo wosia, hakujua kama ana watoto wengine nje?
 
Dear men,!kwa ushauri , mwanamke akikwambia ana mtoto wako hata kama ni mkeo..Kafanye tu DNA kwanza. Bei ni 300k ya vipimo(100k @ mama,baba na mtoto)

Case kama hizi ni nyingi sana, kuna mdada alitoa mimba ya mumewe akambebea mchepuko..Just Imagine
 
Kabila gan wewe,!??[emoji1745]
 
Maisha uloyachagua ya gizani endelea na giza mpk kifo ukutane na wa gizani mwenzio[emoji83]
 
Huta sahau Mungu alivyokujibu hakika Yani nyie wanamke sio wakuamini kabisa

Baba wadondoshee kichapo wote waliobaki wenye tabia Kama ya huyu
 
[emoji23]Alaf unakua umepata faida gani sasa ?
Shida sio pesa shida ni iLe ya kuuaminisha umma una watoto /mtoto kwa miaka kadhaa halafu baadae unaambiwa watot sio wako inauma kwa kweLi bora nifanye maamuzi magumu ili iwe fundisho kwa wengne😅😅😁
 
Wewe ni mzinzi kama wazinzi wengine, huoni aibu hata kuandika ujinga kama huu?
 
Mange kimambi katuharibia sana dadazetu
 
Mal Malaya mkubwa wewe ulaniwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…