Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Kwa hiyo dada, wakati anaandika huo wosia, hakujua kama ana watoto wengine nje?

Hakuandika, inaonekana alihakikishiwa labda ataandika. Na labda aliandika ila mke yupo smart sanaaa na alijua kinachoendelea akanyamaza.

Yeye alikuwa anakula tu anafaidi bila kutumia akili, dhambi yake ilimfanya asiwe nazo.
Huyo ni mjinga sanaaa
 
Tulia tu katika Hio Ndoa yako uliyonayo huna Sabu ya kuhangaika

Ha ha haaa
Anaangaika kwa sababu hana mikopo alivyomwambia mumewe ya kulipa school fees. Mume hana pesa hizo, watoto lazima waende kusoma shule za fee ndogo au za serikali kanisa.

Anaonekana alikuwa anaishi maisha kuwa juu kupitia marehemu.

Hana akili,boya kabisa hilo limwanamke.
 
Hakuandika, inaonekana alihakikishiwa labda ataandika. Na labda aliandika ila mke yupo smart sanaaa na alijua kinachoendelea akanyamaza.

Yeye alikuwa anakula tu anafaidi bila kutumia akili, dhambi yake ilimfanya asiwe nazo.
Huyo ni mjinga sanaaa
Alipaswa kumwambia huyo danga lake kwamba amuandalie asset za maana kuanzia kwa yule mtoto wake wa kwanza kabla hajaanza kuongeza wengine.

Tatizo ma slay queen wanaangalia wakati uliyopo so as they can show off, wanasahau meza inaweza pinduka
 
Najalibu kuvuta taswira ya huyo jamaa ambaye analea watoto ambao si wake! Lakini kwa hekima na busara samehe tu mwachie huyo jamaa aleee watoto wasio wake!
 
Shida sio pesa shida ni iLe ya kuuaminisha umma una watoto /mtoto kwa miaka kadhaa halafu baadae unaambiwa watot sio wako inauma kwa kweLi bora nifanye maamuzi magumu ili iwe fundisho kwa wengne[emoji28][emoji28][emoji16]
Shida watu hatujifunzi yaani vifo deile lkn wapi
 
Unavuna ulichopanda, sku zote dhambi ikikomaa huzaa umauti.

Itoshe kusema uliangalia leo tu na s kesho, kabla ya kujenga mnara jifunze kujua gharama ili usiishie njiani. Kila tendo huwa na matokeo sasa bas hayo n matokeo ya kutenda bla kutafakari je, itakuwaje!?


Yaan watt 3 kwelii🤔, inaskitisha sana kama n kweli. Kweli watu hawana huruma yaan mume wa ndoa kabsaa unamletea watt 3 wa nje 🤦🏻‍♀️.

Subir wakupe miongozo......
 
Makuyoma
 
utapigwa kata funua halafu anakuzika mwenyewe binadam wa zama hizi si wa kufanyia mzaha
 
Wanawake wanajikutaga mastermind ila nadhani upeo wa kuwaza consequences huwaga haupo.

Ndio maana wanadumbuliza vichanga chooni kitu ambacho mwanaume hawezi kufanya

Mwanaume atauwa kama jambazi au hasira ila sio mtoto mdogo kazaliwa tu
Hawa viumbe wana roho ngumu sana nikiwaona wanachemsha maji kwa ajili ya kuku huwa najichekesha maana anaweza kukumwagia [emoji23][emoji23]
 
Wewe umekumbuka shuka kumekucha. Ilikuwa muongee na akutengee mali kwa siri kwa majina ya watoto. Kama nyumba nk. Au awafungulie account ajaze mijihela humo.

Sasa mmh... nachelea utatema nyama ili uonje ukwaju.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
😳😳🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…