ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens.
Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya michezo na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) waruhusu jambo hili lipite.Nafasi ya Yanga Sc katika michuano ya kimataifa ichukuliwe na Simba Queens.
Wako mtiifu