Ushauri : Mwamnyeto rudi Coastal Union , nafasi yako hapo yanga hakuna

Ushauri : Mwamnyeto rudi Coastal Union , nafasi yako hapo yanga hakuna

Kuna watu walinipinga humu wakati namkosoa huyu beki! Yena kwa wema kabisa. Sasa yamemkuta.

Umbo zuri la uchezaji! Nguvu za kutosha! Ila mwisho wa siku anakosa umakini kwenye eneo lake la ulinzi.
 
Kwani Beki huko Yanga ni huyo tuu mbona kama namsikiaga yy tuu. Mmeshindwa kusajii kikosi kipana?
 
Waafrika na watanzania ni wajinga sana tunathamini wageni kuliko wenyeji kule Manchester United wana Maguire kila siku anatoa boko ila huwezi sikia hayo kutoka kwa wachambuzi wazawa ila sisi huku ni wajinga sana na hakuna mchezaji asiyefanya makosa uzalendo kwanza.
 
Nilikuwa moro juzi juzi nilmkuta yule bwana mdg wa namungo kaanda sadaka kaleta na mganga kusafisha nyota eti kwasababu toka ligi ianze anakula bench

Soka la Tanzania ni takataka
 
Back
Top Bottom