Ushauri: Mwanangu ana kipaji cha mpira wa miguu

au mlete karume kila jumamosi na jumapili kuna timu za vijana wanacheza na viongozi wa klabu kubwa huja kuona mtoto gani anafaa nenda na picha ya usajili pale uwanjani karume
 
Kama una hela mpeleke akasome ulaya after years atakuja kuchezea arsenal au Chelsea
 
maumbo pia yana thaminishwa si uliona jamaa mmoja alipiga push up 5 akapewa urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…