Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

Nikupe idea ingine papo hapo - kama Kuna Boda Boda kijiwe around hapo fanya hivi ku-ongeza idadi ya wateja: Waambie wakikuletea idadi Mteja akanunua tray mfano 10 ana buku lake... (Kila tray faida jero - ukitoa buku kumbuka kuwa yule Mteja next time atakua ameshapafahamu dukani tayari una Mteja... Nk nk
 
Yees good idea
 

Mwamba una madini
 
Ni biashara nzuri mayai yanatembea sana lakini upate moja kwa moja toka kwa wafugaji na upate centre yenye mzunguko yasikae sana yataharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hiyo link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…