ellymn
Member
- Nov 17, 2018
- 28
- 22
Mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha elim dar es salaam ila natafuta fursa nzur ya biashara ya kufanya wakat nasom kuliko kutegemea boom tu na kuiendleza kwa muda ambao ntakuwa metoka masomon ila mm ningelionelea kwenye biashara ya mashine ya kusaga nafaka ushaur wenu plz wana forums
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app