Me nimesoma namba 3 tuMy advice fanya biashara utakayoweza kusimamia vyema.
(1)Biashara ya juice.
(2)Bodaboda.nipo na jamaa yangu now yupo na hiace 6 but alianzia chuoni kwa biashara ya bodaboda .
Ulitaka kuijua vizuri hii biashara kuna nyuzi nyingi za hii biashara.
(3) kuunda mtandao wa madada poa wa chuoni na wanunuzi wa madada poa.(utapiga pesa but inahitaji kutuli na usiri)
(4)Agiza mchele kutoka moro na kutafuta faida ya wastani.hapa lazima uangalie competition ya wauzaji wa chakula kwa mazingira ya chuo. Ili kuweza kupigana kibiashara.
Kila kheri.no 3 usiisome.
Naona umesoma angalia kuna jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri, muhimu upate location nzuri tu, utapiga pesa mingiMimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha elim dar es salaam ila natafuta fursa nzur ya biashara ya kufanya wakat nasom kuliko kutegemea boom tu na kuiendleza kwa muda ambao ntakuwa metoka masomon ila mm ningelionelea kwenye biashara ya mashine ya kusaga nafaka ushaur wenu plz wana forums
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha elim dar es salaam ila natafuta fursa nzur ya biashara ya kufanya wakat nasom kuliko kutegemea boom tu na kuiendleza kwa muda ambao ntakuwa metoka masomon ila mm ningelionelea kwenye biashara ya mashine ya kusaga nafaka ushaur wenu plz wana forums
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mazuri lakini wazo no sio zuri kwa maana ni dhambi kusupport watu wafanye yasiompendeza Mungu na pesa utayopata haitokua halali kwa MunguMy advice fanya biashara utakayoweza kusimamia vyema.
(1)Biashara ya juice.
(2)Bodaboda.nipo na jamaa yangu now yupo na hiace 6 but alianzia chuoni kwa biashara ya bodaboda .
Ulitaka kuijua vizuri hii biashara kuna nyuzi nyingi za hii biashara.
(3) kuunda mtandao wa madada poa wa chuoni na wanunuzi wa madada poa.(utapiga pesa but inahitaji kutuli na usiri)
(4)Agiza mchele kutoka moro na kutafuta faida ya wastani.hapa lazima uangalie competition ya wauzaji wa chakula kwa mazingira ya chuo. Ili kuweza kupigana kibiashara.
Kila kheri.no 3 usiisome.
Naona umesoma angalia kuna jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo no 3Mawazo mazuri lakini wazo no sio zuri kwa maana ni dhambi kusupport watu wafanye yasiompendeza Mungu na pesa utayopata haitokua halali kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app