habari wakuu,kuna hii biashara ya
kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo
na tambi za dengu,naomba
kufahamu juu ya faida na soko lake
kwa ujumla kwa dsm.mashne za
kutengenezea znapopatkana na gharama za uendeshaji kwa ujumla
kwa anaezifahamu.natanguliza
shukrani lakn kama kuna maelezo
mengne zaid tofaut na haya
nitashukuru zaidi,pia changamoto zake.
kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo
na tambi za dengu,naomba
kufahamu juu ya faida na soko lake
kwa ujumla kwa dsm.mashne za
kutengenezea znapopatkana na gharama za uendeshaji kwa ujumla
kwa anaezifahamu.natanguliza
shukrani lakn kama kuna maelezo
mengne zaid tofaut na haya
nitashukuru zaidi,pia changamoto zake.