Nakushauri fanya biashara ya kununua mazao kipindi cha mavuno uyauze yakipanda bei. Mfano babati wakivuna mwanzoni kabisa gunia la mahindi ni sh 30000-35000. Baada ya miezi 3 unauza kwa 60000 na kuendelea 80000 Mtaji wako unaruhusu. Ukifungua biashara ya kuajiri mtu hiyo 20000000 wataigegeda yote
mkuu mm nshaoa na mke wangu anakazi yake na ashafungua biashara zake
hahaha bora hata umemjibu umeoa,maana nlikua cjaelewa huko kuoa kuna relate vp na hyo biashara+mtaji??
kuoa ndio biashara gani hyo na mimi niifahamu?inabidi uoe!