Ushauri na Msaada wa kwenda masomoni Marekani

Kwanza jamaa anaitwa EBM na siyo IBM,jamaa huyu anaongea mambo mengi sana lakn yote ni magumu sana kwa wa Tz,anaongelea scholarship zenye masharti ya IELTS na TOEF yaani kiufupi yupo more complicated sana hana plan B kabisa.
Bora umeona hilo kiongozi EBM ana makelele sana na msaada hana!

Juzi alikuwa mwenge hapo niulize kifuatacho[emoji848]
 
Sio IBM ni EBM Mswahili anatoa maarifa jinsi ya kupambana USA kihalali na ukatoboa,amejitolea kuwasaidia watanzania wanaochelewa fursa nje
Mmhhh huyu huyu ambae hajib email na wasup
 
Sema unaonekana we jamaa ni mtu mwema sana!

Labda ndo maana umefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…