Habari wana jf, Mimi ni mkazi wa dodoma (nje ya mji), naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara ya bidhaa tajwa hapo juu
Maswali yangu ni kuwa
1.dozen ya mifuko ile black wanayotumia kufungia
chips inauzwa bei gani hasa kwa dar?
2. dozen ya mifuko ile myeupe midogo (5×7 au
7×12)
3.Pia mifuko ya Rambo ile mikubwa njano/blue/
black yenye uwezo wa kubeba kilo tatu sehemu
sehemu nyingi inauzwa 200
mwenye ufahamu na hiyo biashara anijuze maana huku niliko ni bidhaa adimu sana

Jamani, nataka kuanzisha biashara ya kutengeneza mifuko ya karatasi (paper bags). Naomba, anaejua ni wapi naweza pata materials kwa maana ya karatasi zile ngumu za kaki anisaidie.
Habari wadau!!
Kama title inavojieleza nilikua nataka kufanya biashara ya Rambo na viroba vya jumla niwe nauza hivi kwa bei ya jumla jumla sasa si elewi WAP nitakua nachukulia mzigo!!...ili inilipe kwa kuuza jumla
Kama kuna anaejua au ambae tunaweza tukafanya nae hii biashara anitafte tafadhari!! Nipo mkoani