Gunia zle zinashonwa kwa katani au unamaanisha vroba vkubwa?Mi nauza magunia VIP niwe nakutumia mzigo
Mm nafanya hiyo biashara ila ni kwa reja reja nipo mbeya naninachukulia mzgo hapa hapa mbeya. Ila haojamaa wanaoniuzia wanachukua dar so kama unaweza ukaanza kwa kuchukulia huku pia sio mbaya coz kunawatu wanauzia sumbawanga chunya na songwe wanachukua hapo.Kweli maada yangu nahisi haijaeleweka !!
Rambo (mifuko) za jumla
Viroba (pombe) ....pombe za kwenye packet
Unafanya IPI ya Rambo au ya viroba vya pombeMm nafanya hiyo biashara ila ni kwa reja reja nipo mbeya naninachukulia mzgo hapa hapa mbeya. Ila haojamaa wanaoniuzia wanachukua dar so kama unaweza ukaanza kwa kuchukulia huku pia sio mbaya coz kunawatu wanauzia sumbawanga chunya na songwe wanachukua hapo.
Ooppss sio viroba vya pombe ya rambo na mifuko ya sulphateUnafanya IPI ya Rambo au ya viroba vya pombe
Ok sawa hamna shida angalia pm kwa detailOoppss sio viroba vya pombe ya rambo na mifuko ya sulphate
Sijakuelewa kaka, ebu nyoosha kiswahili chako ili nikupate vizuriHio safi mbona kiwanda tunacho mgororo mafinga
Hio safi mbona kiwanda tunacho mgororo mafinga
Hio safi mbona kiwanda cha hio mifuko tunacho mafinga kinaitwa mgororo kwahio bei itakua cheap kama rambo na uchafuzi wa mazingira utapunguaSijakuelewa kaka, ebu nyoosha kiswahili chako ili nikupate vizuri
Ila nasiku sana sijaona mifuko ya aina hii sokoni au ushindani wa biashara umekipoteza kikashindwa kuzalisha??Hio safi mbona kiwanda cha hio mifuko tunacho mafinga kinaitwa mgororo kwahio bei itakua cheap kama rambo na uchafuzi wa mazingira utapungua
Ahsante ndugu ntaanza soon kuzalisha.Hajachelewa, ndio wakati wake huu.....siku chache zijazo ni marufuku kutumia mifuko ya plastiki.
Soko lilikuwa dogo sana ndo mana pindi jpm anaingia madarakani alikikuta hakizalishi moja yA sababu ya kutozalisha ilikua soko dogoIla nasiku sana sijaona mifuko ya aina hii sokoni au ushindani wa biashara umekipoteza kikashindwa kuzalisha??
Mm Niko mwanza ninafikiria kuanza na wauza chips na nyama China pamoja na wauza bites MF vitumbua, maandazi n.kHailipi kwa dar ile grade ya shopping wengi hawawezi nunua labda ma boutique. Kifupi hand-made inalipa arusha tu maana wanauza makampuni ya utalii mbugani ambayo kwao ni lazima. Ila kujaribu sio kushindwa.
Mm Niko mwanza ninafikiria kuanza na wauza chips na nyama China pamoja na wauza bites MF vitumbua, maandazi n.k
Mm Niko mwanza ninafikiria kuanza na wauza chips na nyama China pamoja na wauza bites MF vitumbua, maandazi n.k
Usijari kaka ndy nafanya marketing survey kwa sasaMkuu nakushauri fanya utafiti wewe BINAFSI na wa KINA kwanza ujue mambo kadhaa yanayohusu biashara hii. Kumbuka hatua ya utafiti ukifanya vizuri itakusaidia SANA huko mbeleni.Nakutakia kila la heri. Utupatie mrejesho hapa kadiri utakavyokuwa unaendelea!