silas a m gabayara
Member
- Mar 1, 2019
- 35
- 7
Ndugu niko na zaidi ya mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na mwili kukosa nguvu na kikohozi kikavu wakati wa usiku makohozi yakibahatika kutoka yanakuwa kidogo alafu meupe maumivu juu ya mgongo nyuma ya kifua hospitali sijapimwa makohozi nimekuwa nikiwaeleza wananipima damu, mkojo na choo kubwa tu hii itakuwa dalili ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app