Ushauri na tiba ya kikohozi

Joined
Mar 1, 2019
Posts
35
Reaction score
7
Ndugu niko na zaidi ya mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na mwili kukosa nguvu na kikohozi kikavu wakati wa usiku makohozi yakibahatika kutoka yanakuwa kidogo alafu meupe maumivu juu ya mgongo nyuma ya kifua hospitali sijapimwa makohozi nimekuwa nikiwaeleza wananipima damu, mkojo na choo kubwa tu hii itakuwa dalili ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda wakumpime chest x ray na sputum AFB ( ya kifua kikuu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…