Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Salam!
Kwa mtu binafsi
Kwa biashara yoyote
Kwa NGO yoyote
Kwa taasisi yoyote ya elimu
Kwa taasisi yoyote ya kidini

IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI

NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA:
1) Kuanzisha/kuboresha/kupanua biashara au Mradi
2) Kufanya Tathimini ya maendeleo ya biashara au mradi wowote (wenye kuanzia miezi 3+) kisha kukupa taarifa ya maandishi/written report
3) Kujadili mahitaji ya muhimu ya mradi au biashara ili kuboresha zaidi mfano mahitaji ya rasilimali watu, vitu, ardhi, fedha nk
4) Kuandaa maandiko mbalimbali kulingana na uhitaji halisi mfano Andiko la mpango wa biashara, mkakati wa kimasoko, mpango mkakati wa taasisi au shirika, maandiko ya miradi ili kutafuta ufadhili nje au ndani ya nchi, na ANDIKO LOLOTE LA KIMKAKATI kutegemea upembuzi yakinifu wa wazo la mradi au biashara husika.
WASILIANA LEO, POPOTE ULIPO TZ. Whasap tu: ili kujadili 0786094141
 
Back
Top Bottom