Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

Yan huyu jamaa ni zoba na kashikwa na demu kinoma,yan mwanamke anakwambia Kama rijali na unajiamini kwa nn umpigie Dr,Yan amamtetea basha wake anakuona unataka kuniharibia fara kweli wewe.Demu ana simu ya kufanyia umalaya ndio Mana huijui lkn we jinga umo tu.Demu kakukoromea mpaka umempa password ya simu lkn password ya simu yake kagoma kukupa au unalishwa na demu nini fara wewe?ungekuwa karibu ungechezea mitama
 
Mimi 29 yeye 23
Ni aibu sana mtoto wa miaka 23 anakutawala kiasi hiko .. inaonekana we uko weak kwake na ashaligundua Hilo....kuwa makini mda c mrefu ataanza route za buza ...na huko Kuna foleni hatari ...
 
Wewe nawe ni muoga kama waoga wengine tuu
 
unamuogopa

unachapiwa live ( mkague na tigo, wallah daktari katoa rinda tayari )

anakuendesha
 
Mimi ni mwanasaikolojia nilichogundua kwako ni mwanamme ambaye unapokuwa na mchumba wako unapenda kucheka na mpole sana kiufupi mkeo kakutawala maamuz yote hufanya yeye na hata uchumi pia kakuzidi kwa msaada zaidi dm me
 
'"kama wewe ni rijaii'' hapo imeingiaje mkuu mwanamek wako anakuambia hivo keep a look out brother ila cha ushauri we vunga kama umepotezea ila fanya uchunguzi mkubwa sana yaani uspy wakutosha kuthibitisha kama ana mwanaume mwingine
 
Acha ujinga wa kukaguana simu jamaa yangu utakuja pata pressure bureeeeee
 
Mnajisumbua tu kwa Dar mnatombeana sana tena sana tuu wee oa faster zaa faster yaani ile bandika bandua then muachie weka distance kaa na wanao watano baaasi!!

kidume ukilemaa atakuletea mitoto ya nje tena itakutia vitasa siku ukizeeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…