Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya maziwa fresh na mtindi

Ibn Abasi

Member
Joined
Jun 24, 2016
Posts
21
Reaction score
10
Habari zenu wadau wa jf.

Mimi ni kijana umri miaka 25, nipo Dar es salaam. Nimepata wazo la kuanza kusambaza kwa reja reja mitaani maziwa ya ng'ombe ya fresh na mtindi yanayotengenezwa viwandani mfano Asasi, Tanga fresh, Dar Fresh n.k. Nina Kadell kadogo kanachoweza kuchukua maziwa 45 hadi 50. Naomba ushauri wenu kuhusu wazo hili.

Ni aina gani bora ya maziwa kati ya hayo niliyotaja na mengineyo yanapendwa zaidi, na Je, ni wapi soko lipo zaidi la uhitaji wa bibhaa hii MAZIWA FRESH NA MTINDI.

Ntafurahi kama nitafahamishwa mahala kwa kuyapata kwa jumla na bei nzuri. NATANGULIZA SHUKRAN ZA DHATI KWENU, @ Ibn Abasi
 
Me mwenyewe nilitamani kuuza asasi kwa jumla ila walinizingua nilipiga simu nikaambiwa wataniunganisha mpka leo
 
Mkuu ulifanikiwa na hii biashara yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…