R rajoh Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 174 Reaction score 142 Apr 17, 2013 #1 Heshima kwenu wakuu! Hivi ni wapi naweza kupata bodaboda nzuri na kwa bei rahisi hapa Dar? mwenye taarifa anijuze pls. nataka kununua wiki hii. nataka kuwekeza kidogo kwenye nyanja hiyo. asanten.
Heshima kwenu wakuu! Hivi ni wapi naweza kupata bodaboda nzuri na kwa bei rahisi hapa Dar? mwenye taarifa anijuze pls. nataka kununua wiki hii. nataka kuwekeza kidogo kwenye nyanja hiyo. asanten.
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 801 Apr 17, 2013 #2 pikipiki ya kichina, fanya utafiti kidogo kwa waendesha pkpk, watakupa DETAILS ambazo ni so practical. Go ahead but PLAN WELL YOUR BUSINESS!
pikipiki ya kichina, fanya utafiti kidogo kwa waendesha pkpk, watakupa DETAILS ambazo ni so practical. Go ahead but PLAN WELL YOUR BUSINESS!