Ushauri nahitaji kununua gari mpya

Ushauri nahitaji kununua gari mpya

M BABA

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
44
Reaction score
8
Kichwa cha habari cha husika.

Nahitaji gari mpya ya kuagiza nje! Je ni kampuni gani yenye gari nzuri nyepesi kwa speed , yenye uwezo wa kupanda sehemu za milimani na yenye kutumiaafuta kidogo kwa umbali mkubwa.

Pia kwa wahitaji wa simu ya kununua hii iko sokoni
Bei 2k!
IMG_20181010_133643.jpeg
 
Kichwa cha habari cha husika.

Nahitaji gari mpya ya kuagiza nje! Je ni kampuni gani yenye gari nzuri nyepesi kwa speed , yenye uwezo wa kupanda sehemu za milimani na yenye kutumiaafuta kidogo kwa umbali mkubwa.

Pia kwa wahitaji wa simu ya kununua hii iko sokoni
Bei 2k!View attachment 895446
Tafuta landrover defender puma ndio yenye sifa zote hizo
 
tafuta ford everest
Mkonge
Nissan safari
Jeep
 
Kwa mawasilano ya kupata hio simu
Mpigie huyu mtu muweze kuongea
0787101726
Biashara mazungumzo
 
Kwa gari mpya tembelea CMC, Toyota, CFAO motors n.k utapata hitaji lako.
Sie wengine uwezo wetu unaishia kununua zilizojambiwa na wajapan...
Sawa mdau.
Nataka ya kupandia milimani utalii
 
Kwa gari mpya tembelea CMC, Toyota, CFAO motors n.k utapata hitaji lako.
Sie wengine uwezo wetu unaishia kununua zilizojambiwa na wajapan...
Hata mleta mada ana maanisha hizo hizo zilizojambiwa na wajapan ila huku kwetu huwa tunaita mpya,mkuu kwa tz hii ni watu wachache mno wenye uwezo wa kununua gari mpya.....yaani gari mpya $30,000 ukiweka na kodi ya serikali $30,000,unadhani mleta mada ataweza inunua gari hiyo? Na gari hiyo hiyo iliyojambiwa na wajapan unapata kwa $1,200 mpaka $2,000 ukiweka na kodi $4,000
 
Hiyo simu unauza ili uongezee pesa yakununua ndinga mUpya??
 
Naona umefungua uzi mwingin ili uipromoti simu yako...ule mwingine ulikosa wanunuzi wa hiyo simu eehh!!
 
Back
Top Bottom