Tafuta landrover defender puma ndio yenye sifa zote hizoKichwa cha habari cha husika.
Nahitaji gari mpya ya kuagiza nje! Je ni kampuni gani yenye gari nzuri nyepesi kwa speed , yenye uwezo wa kupanda sehemu za milimani na yenye kutumiaafuta kidogo kwa umbali mkubwa.
Pia kwa wahitaji wa simu ya kununua hii iko sokoni
Bei 2k!View attachment 895446
Hata mleta mada ana maanisha hizo hizo zilizojambiwa na wajapan ila huku kwetu huwa tunaita mpya,mkuu kwa tz hii ni watu wachache mno wenye uwezo wa kununua gari mpya.....yaani gari mpya $30,000 ukiweka na kodi ya serikali $30,000,unadhani mleta mada ataweza inunua gari hiyo? Na gari hiyo hiyo iliyojambiwa na wajapan unapata kwa $1,200 mpaka $2,000 ukiweka na kodi $4,000Kwa gari mpya tembelea CMC, Toyota, CFAO motors n.k utapata hitaji lako.
Sie wengine uwezo wetu unaishia kununua zilizojambiwa na wajapan...