Ushauri namna nzuri ya kutumia RPM Kwenye gari

Ushauri namna nzuri ya kutumia RPM Kwenye gari

teacher x

Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
94
Reaction score
62
Habari zenu Mara nyingi nimekuwa nikipitia comment za watu humu suala la Rpm limekuwa likiongelewa sana

Naomba kujuzwa kwamba ili gari itumie mafuta vizuri Rpm inabidi iweje na je Kuna uhusiano gani Kati ya mwendo kasi na rpm kuwa juu au kuwa chini msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom