Wanajamvi habari za mchana, nina iman kila mmoja anapigina kwa nafsi yake ili kupata unafuu wa maisha....
Nisiwachoshe, habari yenyewe iko hivi.....
Kuna mtu ambaye nlikuwa namkopesha hela kwa riba (bila kuandkishana popote kwan nlikuwa namuamini) kias cha tsh 500,000/= kwa riba ya asilimia 15, kila mwezi sasa hapo katikati akadai amekwama na malipo yakasimama kwa miezi mitatu hiv nikajikuta, Riba pamoja na mtaji namdai kias cha tsh 725,000/= hivi. tukakaa mezani tukakubaliana alipe hiyo hela ila akaniomba alipe polepole akawa ananipa laki mbili, laki moja mpk nlitepa hii ishu jamvin baki ni tsh 290'000, mwsho akaanza kuwa na kauli ambazo sio rafiki nikaamua kwenda polisi ambako kule aliandka maelezo kuwa atanilipa hela iliyobaki kwa miezi mitatu, kwa maana ya Laki moja kila mwezi.
Kwa sasa nna uhitaji na pesa nataman kwenda mahakaman au awekwe ndan anilipe pesa yangu mara moja, nna uhitaji na pesa......
Maswali yangu...
1. Ni process zipi nifate ili akamatwe awekwe ndani
2. Nifanyeje ili nipate hela yangu. Je, kwnda mahakaman ni sawa kwa ishu kama hii
3. Huyu jamaa nimtumishi je niende kwa bosi wake ambae ni mkurugenzi
4. Kipi sahihi kwa sasa nipate hela yangu....
5. Mwenye hoja ambayo itatoa msaada wa haraka.....
Naomba kuwasilisha.......