KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hii inaonyesha ni jinsi gani vijana wetu wa kiume wanavyorefuka miguu lakini akili zikirudi nyuma....
Wewe kama mwanamume ungetakiwa uumize kichwa namna ya kumsaidia mkeo ili muondokane na kero hiyo....kumbuka kuwa nyie ni mwili mmoja.....kumtangazia mwenzio shida zake za siri katika mitandao ya kijamii kwa sisi watu wazima ni sawa na kujiweka uchi wewe mwenyewe pia....kwani shida zako ni shida zake......
Baba yako amekukabidhi mke akijuwa kuwa mwanae ameshakuwa mtu mzima kwa kuangalia umbile kubwa ulilonalo na bessi kubwa kama sabufa......lakini hakujua kuwa kuishi na mwanamke kama mkeo ni zaidi ya kubalehe na kupunguza hamu zako za kimwili......
Ninachokushauri ni kuwa wewe kama mume unatakiwa uonyeshe maana ya kuwa kichwa cha familia....kaachini na mkeo mjadiliane namna ya kutatua tatizo hilo ili mfurahie maisha ya ndoa kwa pamoja.......lifanye tatizo la mkeo kuwa ni la kwako......naamini hilo tatizo linamkera mkeo kuliko lina yokukera wewe......kwa kipindi hiki anahitaji sana ukaribu wako kama mumewe ili kumjenga kisaikolojia..........GROW UP YOUNG MAN.......