MOONFISH
Senior Member
- Jul 30, 2022
- 135
- 268
Habari wandugu.
Niko hapa sijajua kama ni ku shauriaana au kuwa pasha habari?
iko hivi tokea juzi kuna jamaa alikuja kunitembelea mkoa x baada ya kukaa nae tokea jana akawa kama hayuko kwenye hali ya kawaida ikabidi nimuulize ila aligoma ikabidi jioni tutokea kwenda out kidogo baada ya ya bia mbili 3 akaniambia kuwa ana mdogo wake ambaee ndo ana muaangaikia kuhusu swala la ada na matumiazi madogo maana yuko huko kijiji x.
sasa tatizo lililopo ni nikuwa binti huyo wa 4m one anamimba ya miezi mi 4 inana maanisha tumbo ni kubwa la miezi mii nne.
Sasa jamaa akawa ana jaribu kuniomba ushauri mwanzoni nili mshauri atoe maana sikujua kama mimba ni ya 4 month na leo tena kaniuliza dawa gani za kutoa mimba ila nili mjibu kuwa sijuiii so ni vizuri zaidi kama akiulizia.
Alikuja aka mpigia simu bibi mmoja akasema kwamba ana weza kuitoa ila njia anayo tumia sasa nilivyo sikia nikasema hapana huuu ni ukatili nika mdanganya nika mwambia kuwa zipo njia salama na nika mtajia vidonge ambavyo havipo duniani (kutunga jina) ila asiwe na ile akili ya kutoa mimba kienyeji.
Tukirudi nyuma kidogo kuhusu binti alishindwa kutaja nani kampa mimba maana alikuwa anasema ni mwaka jana dec ila ukihesabu unaona kabisa ni uongo maana angekuwa amejifungua, nikamuomba jamaa akae nae aonge nae vizuri ili ajue kiundani binti aka funguka kuwa alitoka na watu zaidi ya wa 5 na katika hao wa 3 wali mbakaaa na wali mla kwa zamu mpaka asubuhiii na mwingine ni ndugu yake kabisa ambaee yupo karibu na mwingine ali mbaka kipindi maji yalikuwa ya shida alienda kuchota kisimani.
Jamaa alivyo nifuata na kuniomba ushauri nika mwambia kama watu ni wengi ni ngumu sana kuelezea na kutafuta baba ni nani cha msingi tafuta suluhisho lingine.
Huruma ni kwa binti maana bado ni mdogo na darasani alikuwa yuko vizuri kweli shida iliopo mpaka sasa ni kuwa binti wanataka kumtoa mimba ya miezi 4 na kesho ndo wanaenda kujua ina mda gani na familia haitaki mtoto hata wala kwenda mahakamani.
Nimeombwa ushauri ila nimeshindwa huruma yangu ni binti asije akakata moto tu maana wanataka kumtoa kienyeji na madawa.
Mwandiko rekebisha mwenyewe.
Done.