kasulukasulu
New Member
- Oct 5, 2013
- 3
- 3
Mazingira tunayoishi yanatulazimu kunyanyua magari lakini si jambo la busara hata kidogo, ile balance halisia ya gari inapungua, muonekano wa gari unapotea..Binafsi napinga sana mambo ya kuinua gari. Lakini kwa uhalisia wa maeneo tunayoishi na barabara za kuelekea huko, kuinua hizi gari zetu za chini hakuepukiki hata kama wewe ni dereva mzuri namna gani. Jitu katoa option nzuri ya kuinua.
Ila kama hutoona taabu kupanda bodaboda wakati una gari limepaki ndani, then usiinue.
Mie nimekuwa mbishi mpaka leo. Iko vile vile. Ila ndio hivyo, bodaboda zinahusika saana 🙂 🙂.Mazingira tunayoishi yanatulazimu kunyanyua magari lakini si jambo la busara hata kidogo, ile balance halisia ya gari inapungua, muonekano wa gari unapotea..
tena hiyo subaru impreza ikinyanyuluwa inakuwa mbaya sana...
Ni kagari kazuri ila walikatengeneza chini sana bora hata passo..
Salam wakuu,
Nimekua mtumiaji wa magari yaliyo chini. Nilianza kutumia Toyota RunX na sasa natumia Subaru imprezza. Katika matumizi yake nimekua napata changamoto ya kimo chake ikiwemo kuharibu mabampa.
Zaidi ya mafundi wawili wamenishauri kupandisha/ kuongeza urefu wake. Naomba mawazo yenu kama kuna changamoto zozote za kufanya zoezi hili na mambo ya kuzingatia ili niongeze bila kuathiri vitu kama balance ya gari.