oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
- Thread starter
-
- #21
dada yangu hapa mie naona bora uachane nae tuu......the reason being kwamba kila leo wewe utakuwa unafanya kazi ya onyesha kuwa u not cheating na hivyo trust itakuwa issue...jambo engine kwa nini watu waendelee kukuletea usumbufu kama kweli wewe hucheat? kuna kitu ambacho wewe hutuambii hapa.
Wanaume mnavyojua kuwahukumu wanawake! Ingekuwa ni mwanaume mwenzenu mgemuita malaya kweli; kwanza mngempongeza! Phew!