Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
 
Split personality / Bipolar...

Cc: Mahondaw
Hana sababu nyingine za kufanya conclusion kwamba ni bipolar! Hii itakuwa ni abnormal condition lakin sio complete disease unless kama ana dalili nyingine zaidi.

Hajakubali kuwa hizi ni hali za vipindi au la. Lakin hii knaonekana inataka haloperidol kiasi na kubadili life style. Angebainisha anasocialize na nani na interaction yao inazalishaga nn ningemwambia ajiengue hapo..

Mtoa mada nn kingine unaona kimebadilika
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Unajishughulishs na nini?
 
Vutaataaabangi mkuu dawa ya 500 todhaaa usingizi huoo
 
Back
Top Bottom