Ushauri Nasaha kwa Wanaume.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
kuna jamaa mbeya namjua vyema
aligonganisha akawaacha madem
akawaambia"mi natoka anaejiona anastahili
kuwa na mm jioni nikirudi nimkute
kapika,kafua na kunyosha nguo"alivyorudi
jioni akakuta chakula mezani,nguo
zimenyosha na nyumba safi na madem wote
wapo,akawaambia"nani kafanya kazi hizi?"
wakajibu "wote tumefanya mwingine kapika
mwingine kafua,"akaawaambia"kuanzia leo
sitaki ugomvi wenu na naomba mjipangie
wenyewe zamu ya kulala na mimi"
 
Iwapo waliridhiana wote wawili hao...japo ni kauhuni ila wana chembe za kumtambua Mola.
 
Basi ategemee siku moja kuwa na mwanaume mwenza...!
 
kaswali kanatia moyo,
wee bujibuji nimekaa sana mbeya.
naona unatokea mbeya ,
nimekaa sana pale forest karibu na benk kuu,soweto,naipenda sana mwanjelwa.
halafu kuna jamaa pale mwanjelwa sokoni yule bonge anapika msosi bomba sana,
mbeya kiboko baba,
ingekuwa ruhusa yangu ningeishi mbeya.
 

ssa hiki kisaaa?? au kichekesho na hua ushauri ulosema kwa wanaume ukowap?
kua tukigonganisha tuwape mtihani huo au??
me cjaelewa mantiki hapa ndo mana nauliza.sio kwa ubaya wala.
 

Nimejikuta nacheka kwa nguvu..kama nawaona wakiwa wanafanya hizo kazi. Mwe.......sasa sijui ni kwa kuwa wote wana mapenzi ya kweli kwake, au ndo wanaume wachache haa.......

Aksante Buji darling kwa kunianzishia week kwa kicheko. Ubarikiwe sana
 

hapo ushauri nasaha kwa wanaume uko wapi, sijauona.......!!!
 
Dahhhh jamaa mtaalam sana huyo..
kizuri kula na mwenzio mmmhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…