Ushauri nataka fungua duka dogo la vifaa vya umeme na ujenzi mkoani Morogoro

jahson

Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
15
Reaction score
4
Mim ni graduate na Sina uzoefu wa hiyo biashara, lakini ndo biashara niliyo amua niifanye, naomba ushauri kwa wenye uzoefu nayo na kwa kua mtaji wangu ni mdogo.

Naomba ushauri nianze na vitu gani na pia kwa wanao ijua moro vizuri wanaweza nishauri na sehemu pia..na pia sehemu gani ntafunga mzigo kwa pei nzuri.

Natanguliza shukrani kwenu..
 

ungekuwa unafungua dar ingekuwa poa sana,2ngeshauliana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…