Ushauri: Nataka kuacha chuo

Ushauri: Nataka kuacha chuo

Tenderobo

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
25
Reaction score
5
Nimeomba chuo mwaka huu, lakini bahati mbaya nimeangukia kozi ambayo sikuipenda kutokana na competition, hivyo mimi binafsi napenda kuacha masomo kwa mwaka huu, ili nipate nafasi yakuja kuomba tena mwakani, Jee kunauwezekano wa kupata tena mkopo?
 
Nimeoba chuo mwaka huu, lakini bahati mbaya nimeangukia kozi ambayo sikuipenda kutokana na competition, hivyo mimi binafsi napenda kuacha masomo kwa mwaka huu, ili nipate nafasi yakuja kuomba tena mwakani, Jee kunauwezekano wa kupata tena mkopo?

i see no possibility of you getting the loan.... ulitakiwa uombe kubadili degree program ulivyoripoti chuo.. that atleast would work
 
mkuu kama umesha fanya regstration na boom umepokea n vigumu kukacha koz vumilia2.
 
mkuu kama umesha fanya regstration na boom umepokea n vigumu kukacha koz vumilia2.
mr mm mwenyewe na tatizo kama hilo but sijaripot hata chuo kutokana na kufanya wrong choice chuon udom afu nasikia kama deadline y kubadili imepita hata sijui nifanyeje ?
 
mwenye uelewa na hii naomba anisaidie nilichaguliwa udom but ni katika wrong choice n mkopo ckupewa nahitaj kuripot chuo udom naweza kubaliwa kubadili programme au nimeshachelewa anayejua anisaidie
 
Usiache kozi nenda ubadiri. Kama ni hivyo jitahidi kutafuta hela yako mfukoni ya kujisomesha. Serikali yetu imechoka sana inatafuta kosa dogo tu ikufunge goli.

Mwakani utaambiwa unapata mkopo, chuoni watasema hatujui. Mwisho...
 
mwenye uelewa na hii naomba anisaidie nilichaguliwa udom but ni katika wrong choice n mkopo ckupewa nahitaj kuripot chuo udom naweza kubaliwa kubadili programme au nimeshachelewa anayejua anisaidie
Subiri mwakani ndo uombe chuo na mkopo ikigoma tafuta jinsi ya kujisomesha tu.
 
Subiri mwakani ndo uombe chuo na mkopo ikigoma tafuta jinsi ya kujisomesha tu.
poa kwa ushaur but nilikua nauliza kama udom wanaweza nibadilishia programne for this time kabla sijafanya regislation kwan nipo dilema niende au nibak kwan nimechelewa kutokana kujipanga na fees
 
wale wa udom ambao hawana mkopo wamepewa frst priority ya kukubaliwa kubdili koz fika chuoni utapata maelekezo yote.
 
poa kwa ushaur but nilikua nauliza kama udom wanaweza nibadilishia programne for this time kabla sijafanya regislation kwan nipo dilema niende au nibak kwan nimechelewa kutokana kujipanga na fees

Private watekubali ila ambao ni loan hasa education ni ngumu.
 
Du pole sana!! ndugu yetu sasa hv maisha n bahat nasibu hasa kwa serkal yet inakupangia future yako duuu!
 
Back
Top Bottom